MAUNGANISHO MAPYA KIDIJITALI

Mpendwa Mteja, sasa unaweza kuomba maunganisho mapya ya huduma ya maji kidijitali bila kufika ofisini. 

Tafadhali wasilisha maombi yako mapema kupitia mfumo wetu wa online

huduma.maji.gov.go.tz

kwa msaada zaidi wasiliana nasi kupitia namba za huduma kwa wateja 0800 110010 au 0677091360