Back to Top
youtube

Mamlaka ya MajiSafi na usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA) Inawakumbusha wateja wake kuwa Ankara za Mwezi wa nane (8) ambazo ni matumizi ya Mwezi wa Saba (7) tayari zimetoka. Ndugu Mteja lipia bili yako kwa wakati ili uendelee kufurahia huduma. LIPA SASA kupitia mitandao ya simu pamoja na Benki washirika na App ya App ya GePG.

youtube

Mafunzo ya matumizi ya mita za Prepaid kwa wafanya Biashara na ushirikishwaji wa Usomaji mita/dira za maji kwa wateja