MALENGO YETU
◾Kuzalisha na kusambaza maji safi na salama kwa wakazi wote wa Manispaa ya Songea ikiwa ni pamoja na kukusanya mapato yatokanayo na mauzo ya maji hayo.
◾ Kutoa huduma ya uondoaji majitaka toka kwa watumiaji wa majisafi na kisha kuyatibu kabla ya kuyamwaga katika sehemu maalum.
◾Kugharamia uendeshaji ikiwa ni pamoja na matengenezo mbalimbali ya mtandao wa majisafi na majitaka.