Maelezo:-
➡️ Hakikisha umejaza vizuri majina yako matatu,
➡️ Hakikisha umeweka sahihi yako na tarehe uliyojaza fomu,
➡️ Hakikisha umebandika picha yako kwenye fomu,
➡️ Hakikisha mmiliki wa eneo amethibitisha kuunganishwa kwa huduma ya maji katika eneo lake kwa kuweka sahihi katika fomu husika.
➡️ Hakikisha umeambatanisha hati/ofa ya kiwanja cha nyumba unayoingiza huduma ya maji au hakikisha umeambatanisha barua ya utambulisho kiongozi wako wa mtaa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji,
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA)
📍 70 Barabara ya SOUWASA
📬 S.L.P 363,
🗺 57101 Songea,TANZANIA.
📧 Barua Pepe: info@souwasa.go.tz
🎧 Simu: +255 25 260 2294
📲 Namba ya Bure: 080 011 0010 / 0677091360