UMOJA WA WAFANYAKAZI WA MAJI SONGEA (UWAMASO).

WASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA PILI WA MWAKA 2023/2024.

Umoja wa Wafanyakazi wa Maji Songea (UWAMASO), wameshiriki katika Mkutano Mkuu wa Pili wa mwaka 2023/2024 ambapo masuala mbalimbali ya kiutendaji yalijadiliwa na kupanga mikakati zaidi ya kuboresha umoja huo.

Akifunga mkutano huo Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka, Mhandisi Patrick Kibasa aliwaomba watumishi hao kuendelea kushirikiana katika mambo mbalimbali ya kijamii yanayowazunguka.