Bodi mpya ya Wakurugenzi SOUWASA yatembelea miundombinu.

Wajumbe wa Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Songea(SOUWASA), wakiongozwa na mwenyekiti wa Bodi hiyo Bi.Rosalia Mwenda (Aliyevaa nguo ya kitenge katikati) pamoja na Menejimenti ya SOUWASA wakitembelea miundombinu ya Mamlaka ili kujionea hali halisi ya utoaji wa huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira inayofanywa na Mamlaka ili iweze kupanga na kushauri mambo mbalimbali yatakayoiwezesha Mamlaka kufikia malengo yake.